Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilimbatiza kumkabidhi rasmi kwa mungu
IMG-20210725-WA0003_1.jpg
 
Tulipoamua kupandisha Tozo za Miamala tulikuwa tuna lengo zuri tu ila tulipoanza kusikia Kelele za Wananchi basi Serikali tukaona kwakuwa tunawajali Wananchi wetu tuingilie kati na sasa nimeunda Kamati ili kuliangalia hili na itakuja na majibu muda si mrefu" Rais Samia.
 
Dah
Anayumba

Kwahiyo wametengeneza tatizo na kulitatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣 dah!

Haya bana ni siku mpya tena. Sir God akutangulie kwenye mambo yako 🙏
Asante kwa maombi yako, ukiendelea hivi lazima nifanikiwe malengo yangu haki ya Mama 💪💪

Nasikitika ile agenda umeshindwa kuitolea maamuzi mwenyekiti licha ya kukuletea file langu.

Nasubiri kwa shauku majibu yangu 🙊

Uwe na siku njema
 
Hallelujah

Majibu yanakuja, ndiyo nimetoka kuyapandisha bus 😂
 
Hizi chanjo chomeni tu.

Wale uvccm ndio unaona kabisa akili hawana,wana njaa tu.
Wamebwabwaja jana,wale jamaa wanafiki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
"Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalamu na wataalamu wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom