Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuku wa dodoma wako vizuri siku zote...

IMG_5845.jpg
 
😆😆😆 Na hayatokaa yawe fair kwenye ardhi hii iliyoachwa na kina Adam & Eva
Kwa kweli, alafu kwenye maandiko wamesema utafuteni kwanza ufalme wake na hayo mengine mtazidishiwa.

Nadhani Neymar JR ametimiza sana hilo takwa😜

Anyways, Hujambo lakini bibie?? Fanya kunitumia Sato kilo 10 😄
 
🤣🤣 hujachelewa bado na wewe litimize.

Sijambo. ... Mbona huu mkoa nilipo hauna Sato wala Sangara? Hapa nilipo labda ndizi mshale au ndizi ng'ombe 🤪
 
🤣🤣 hujachelewa bado na wewe litimize.

Sijambo. ... Mbona huu mkoa nilipo hauna Sato wala Sangara? Hapa nilipo labda ndizi mshale au ndizi ng'ombe 🤪

Niombee kabla mwaka haujaisha nitusue, dalili nimeziona kwa Neymar JR 😄

Kumbe hatuko mbali sana, fanya chane 3 nikapate mbuzi choma 😋😋
 
Nitafanya hivyo.. ila ukitusua usisahau waliokuombea 😎

Wee zinakuja na boda 😉 we zisubiri stand tu
Usijali, nikifanikiwa kupata walau thelethi ya Utajiri wa Neymar JR basi Toyota V8 itakuhusu kama zawadi. Endelea kuniombea 😄

Tumwombe huyo boda awahishe hizo ndizi, manake mbuzi huku anashuka kwa haraka Sana kwa support ya 🥂
 
Inshallah... Mathayo 7:7-9

Anakaribia. Sogea stand 😎
Nimesoma hiyo Mathew 7:7-9 nimefarijika sana.

Nadhani ni muda mwafaka wa kutuma pia na yale maombi yangu mengine uliyoya reject kipindi kile 😜😜

Mungu ni mwema, utayapitisha kwa kura za kishindo 🙊🙊

Pokea na hiyo Hennessey uinywe taratibu wakati unapitia file langu 🍾🍾 🙈
 
Back
Top Bottom