HahahahaHuko Ethiopia kuna kabila linaitwa Bodi, wanaume wanashindana kuwa na kitambi, mwenye kitambi kikubwa ndio anavutia warembo. Ukishinda kwa kuwa mwenye kitambi kikubwa zaidi unapewa tuzo ya ushujaaView attachment 1868693
Hepibesidei gwa kumyitu.Wanaselfika mimi mwanachama mwenzenu leo nimefanikiwa kuongeza mwaka mwingine......imetimia 28
Mwakani inabd nioe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]si ett??
happy birthday to me GERALD View attachment 1870953
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
hahahahahahha kinyakyusa deep sana hiko....Hepibesidei gwa kumyitu.
Tukuntufya ulutusyo Malafyale gwakaka ulibumi[emoji120].
Kyala akusaje lusajo lwake masiku ghosa pakyisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38]hahahahahahha kinyakyusa deep sana hiko....
asante babe wa Jack Jack Palladino
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Happy born day G... Oa sasa.. !Wanaselfika mimi mwanachama mwenzenu leo nimefanikiwa kuongeza mwaka mwingine......imetimia 28
Mwakani inabd nioe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]si ett??
happy birthday to me GERALD View attachment 1870953
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nimesoma hiyo Mathew 7:7-9 nimefarijika sana.
Nadhani ni muda mwafaka wa kutuma pia na yale maombi yangu mengine uliyoya reject kipindi kile 😜😜
Mungu ni mwema, utayapitisha kwa kura za kishindo 🙊🙊
Pokea na hiyo Hennessey uinywe taratibu wakati unapitia file langu 🍾🍾 🙈