Nenda usitende zambi tena
Mataa ya philips[emoji92]
View attachment 1834768
Suprises zitakuwa nyingi! [emoji23]
😄😄😄 Twende?Mataa ya philips
Kama kawaida tumewahi kuja kuchungulia dimples😁😁😁
We ni huyo mwenye cap/ kofia au mzula ? 😂Kama kawaida tumewahi kuja kuchungulia dimples😁😁😁
View attachment 1873298
Waiiiii
Cocastic ban yake haiishi tu? 😂Tumepunguza mno kuselfika! Shida nini wadau.. Kumbukeni si lazima sura.. Hata upaja tu ulionona[emoji39][emoji16] ruksaaa! Au zile za kubinua kishoes![emoji3][emoji3][emoji3] kwa wanawake tu lakini au guu kama la ankal wangu Chakorii , au komwe kama la mjukuu wangu cocastic [emoji16]! Vp kuhusu kiuno nyigu cha Depal [emoji23][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]