Pole yake.
Bora hata mimi nilikuwa mdogo mdogo kipindi hicho 15+.
Nilikuwa sioni shida kabisa kulia
,huku kichwa kinawaka Moto,huku mguu,huku mgongo mara kiuno, huku mkono ,,hapo nime exclude michubuko midogo midogo ya rejareja,,,hiyo combination ya maumivu
.
Ile gari almanusura iondoke na kiganja changu chote Cha mguu.