Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20210712-WA0003.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa yupo Agent bavo sema quality yake naona bado kidogo ila kwa mapigo anaishi level za damme
Ngoja nitajaribu kumuangalia .
Nina miaka zaidi ya 10 tangu niachane na movie za kibongo .
Watu wanajua kuigiza mapenzi tu,,,tena nayo stori unajua kabisa Inaelekea huku.

Hizo za kupigana ndio kabisa[emoji38],
Ngoja nimcheck huyo jamaa ,,
Ila bro acha kumlinganisha Damme na watu wa ajabu...hivi yale mateke yake umeyaona vizuri kweli anavyoyatandika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom