Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,859
Naona unaweza za kichokozi chokoziKatoto ka watu nimekabebaView attachment 1672082
Naona unaweza za kichokozi chokoziKatoto ka watu nimekabebaView attachment 1672082
Teh tehU a utani wa ngumu, hukuona watu walivyomtetea yule?
hahahahahhahaha mbez mkuu...ila sio ww huyo lips zake hazko vyediwallah mkuu umepatia ndo mimi kabisa.umenionea wapi na wewe na mbona hujanistua sasa
khaaaaa....Ushawahi jaribu kuonja mb....o ukajua ladha yake?
Hebu usnipangie jinsi ya kuishi msieeeew
Sio kila mtu ana amini hiyo dini,khaaaaa....
asalamaleku miss
Hi guysKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
We ndio yupi hapo
Chizi kabisa ujue 🤪🤪🤪nilikuwa mimi ungeniita.lips nilikuwa sijazifanyia decoration tu mkuuhahahahahhahaha mbez mkuu...ila sio ww huyo lips zake hazko vyedi
Cha uchokozi😜😜kimbweta🤣
Ninamuogopa huyo mdudu ajabu..naweza kumuota usiku huku naweweseka🥺🥺
4We ndio yupi hapo
Hapo umeniacha
Hapo umeniacha

♥️
niaje beste wanguCha uchokozi😜😜
solar panel 🤣🤣