Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,558
Hiyo nini?[emoji298]
View attachment 1850090
Ila England atashinda.Naona upo na mahubiri tu mtumishi tuombee England basi sawa mkuu
Tena mwanamke wa kike😂Lakini ukitishwa na mwanamke
Bro pep umekomaa[emoji16]Amen Amen.
Roho Mtakatifu ambaye ni msaidizi wetu na akakusaidie katika hili.
Ooh, nikienda na watumishi wenzangu kwenye 'huduma' nawasikiaga wakisema last born huwa ni watu wenye upendo mno.
Upendo wako wako mwingi umekua kikwazo cha wewe ku move on.
Japo pia inaonekana ulikua karibu mno na mzee wetu (Jina la Bwana lizidi kuhimidiwa [emoji1374])
_________________________
You've my word mtumishi mwenzangu. Na hii itakua surprise mubashara kabisa.
Tuendelee kumsihi Mungu atuweke salama.
Stay safe mama mtumishi.
Hujui 🙄? Basi haifai kukwambiaHiyo nini?
HahahahaHahaha mna vitukonyie
Pombe tu sioni vizuriHujui [emoji849]? Basi haifai kukwambia
HahahahaPombe tu sioni vizuri
[emoji482]Hahahaha
Ongeza zingine mbili[emoji482]
Ni kweli sisi ni watu wenye upendo mno.Amen Amen.
Roho Mtakatifu ambaye ni msaidizi wetu na akakusaidie katika hili.
Ooh, nikienda na watumishi wenzangu kwenye 'huduma' nawasikiaga wakisema last born huwa ni watu wenye upendo mno.
Upendo wako wako mwingi umekua kikwazo cha wewe ku move on.
Japo pia inaonekana ulikua karibu mno na mzee wetu (Jina la Bwana lizidi kuhimidiwa [emoji1374])
_________________________
You've my word mtumishi mwenzangu. Na hii itakua surprise mubashara kabisa.
Tuendelee kumsihi Mungu atuweke salama.
Stay safe mama mtumishi.
MkuuBro pep umekomaa[emoji16]
Vant kmmmmkeOngeza zingine mbili
Hiyo ndio yenyeweVant kmmmmke
Upendo hufurahi pamoja na yote[emoji4]Bro pep umekomaa[emoji16]
Nimeshajua sasa Hadi na mini naenjoyUpendo hufurahi pamoja na yote[emoji4]
Hujui namna gani naenjoy kuchat naye hapa[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuzidi kufurahi[emoji4][emoji1635]Nimeshajua sasa Hadi na mini naenjoy