Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,395
- 191,483
Mtafute agent bavo kisha utaniambia mtafte insta hata youtube tu uone kichapo anachotembezaNgoja nitajaribu kumuangalia .
Nina miaka zaidi ya 10 tangu niachane na movie za kibongo .
Watu wanajua kuigiza mapenzi tu,,,tena nayo stori unajua kabisa Inaelekea huku.
Hizo za kupigana ndio kabisa[emoji38],
Ngoja nimcheck huyo jamaa ,,
Ila bro acha kumlinganisha Damme na watu wa ajabu...hivi yale mateke yake umeyaona vizuri kweli anavyoyatandika?
Sent using Jamii Forums mobile app