Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Unajua nini mtakatifu...najua inauma mno mno na machungu ya kumpoteza mzazi hasa ikiwa kama ulikuwa ukimtegemea.Watu na miguu yenu.
Kwa jinsi nilivyo sasahivi,,huu mguu ni sawa na paja langu.
Jikaze!muombe Mungu amani ya moyoni..najua katika hali ya kibinadamu ni ngumu.muombe Mungu atakusaidia.usilalamike wala kunung’unika muombee pumziko la milele..kifo hakizoeleki.. muda sahihi utafika utajikuta hata huu muda unaowaza mwisho wa dunia ufike Yesu aje kukunyakua hautakuwepo.
Mshukuru Mungu kwa kila kitu.
Mwanga wa milele umwangazie baba yetu aendelee kupumzika kwa amani.
.


