Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,562
Wakuu naingia lindo
Wapi uko?Wakuu naingia lindo
Nakuelewa mtumishi mwenzangu.Ni kweli sisi ni watu wenye upendo mno.
Nilikuwa nao karibu wote ila nahisi mzee ndio zaidi,,,akiwepo home naenjoy mno(si unajua wakina mama sometimes wanazingua,,hatuivi sana).
Alikuwa mtu wa kuappreciate sana ukifanya vizuri..
Kuna mambo nilijitahidi kufanya kwa bidii ili nimridhishe tu mzee wangu.
Ngoja nisiandike Sana..
.
.
.
.
Oh baba Mtumishi ngoja niendelee kukutazamia labda utawiwa utanitumia kapicha kako[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ngoja nasubiri hiyo surprise,ila amgalia isikawie sawa[emoji38].
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Niko lindo huku godownWapi uko?
Ah alikuwa akianza kumwaga zile sifa[emoji847]acha kabisa[emoji4],,unaweza hisi upo ulimwengu mwingine.Nakuelewa mtumishi mwenzangu.
Huwa inatokea, watoto wa kike ni marafiki zaidi wa baba...and the vice versa.
The best thing unaweza kufanya kwa sasa, ni kuendelea kuwa motivated zaidi katika kuyafanya hayo aliyoya aspire kwako.
Hiyo ndiyo namna bora ya kuenzi maisha yake ya hapa duniani.
_________________________
Niamini mama mtumishi, ntakuona & utaniona. Ubarikiwe sana [emoji1374]
Kila la kheri MkuuWakuu naingia lindo
Umenikumbusha enzi za kuchungulia kwenye kumbi za videoCommando[emoji7][emoji119]View attachment 1850113View attachment 1850114
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi hizoUmenikumbusha enzi za kuchungulia kwenye kumbi za video
Jaman hata ya kulalia... 😭Unasemaje? Na kombe lipo ROME
Ah alikuwa akianza kumwaga zile sifa[emoji847]acha kabisa[emoji4],,unaweza hisi upo ulimwengu mwingine.
Huyu Mungu [emoji25][emoji120][emoji120]
Anyway...
Sawa Mtumishi, Nina hakika hautaniangusha[emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]
Mungu akutunze [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatuwazia mema[emoji4][emoji120]I feel you mtumishi mwenzangu. Pole sana.
Sina wasiwasi wowote kwamba Mungu ana plan nzuri tu ya kukutoa hapo.
Anatuwazia mema, always...si unakumbuka hili? Mema yanakuja.
___________________________
Naaam naam.
Huo ndio ukweli. Hujafanya kosa kuniamini katika hilo.
Amen mama mtumishi. Malaika wa Bwana wakutunze na kukulinda.
Nilisema Italy akishindwa au England akishinda.Jaman hata ya kulalia... 😭