Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐— ๐˜‚๐—ด๐—ฎ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ; "M๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ. ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐˜‚๐—น๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ ๐—จ๐—ฑ๐—ฎ๐—ธ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐˜€๐—ถ. ๐—ก๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜‡๐—ถ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฎ๐—บ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜‡๐—ฒ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ. ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—น๐—ถ. ๐—ก๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ณ๐—ฒ๐—น๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ผ, ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—บ๐˜‚๐—ฎ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐˜‚๐—ฎ. .... ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ, ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ฒ, ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ถ au ๐—ช๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐—ท๐—ถ!, ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ."
ukweli kabisaa hapa.
 
IMG_20210602_134711_9.jpg

IMG_20210602_134835_0.jpg
 
Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA. Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.

C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie

(Mentions zinaendelea)
Ooh pole kwake na kwa familia yote.
Mungu awe nae na kuwepo mkakati wa namna ya kumsaidia mwenzetu.
Lakin madame vizuri upost kama uzi wa kipekee ili iwe wepesi watu kujua
Daah pole nyingi sana kwa familia yao Mungu akawafariji na akawatie nguvu katika kipindi hiki kigumu! Baba apumzike kwa amani Amen!
So sad. Mungu amlaze Baba mahali pema peponi.Mungu amtie nguvu yeye na familia yake katika kipindi hiki kigumu.
Mwendo ameumaliza Imani ameitunza apumzike kwa amani BABA. AMEN
Pole zangu kwa dada Anne na familia yake yote. Mungu awape nguvu za kuuvuka wakati huu mgumu. Alale pahali pema peponi Baba Anne.
Amen
Akhsante
Mzidi kuniombea,ni wakati mgumu sana kuwahi kupitia maishani.

Mungu awabariki.
 
Tuko pamoja naye katika kipindi hiki kigumu
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
maskini duuh pole sana kwake Mungu aitie nguvu familia kwa kipindi hiki kigumu kwao
Pole sana kwake Saint Anne
Huyu mkuu amekua mdau mzuri sana kwenye uzi wetu huu na nyuzi nyingine pendwa pamoja na salamu za pole yunzotoa napendekeza tufanye chochote kinachowezekana kumfariji

Nashauri Heaven Sent au mkuu Mshana Jr mtusaidie kuli organise hili kama itawapendeza
Ooooh JAH awape wafiwa wote faraja na uvumilivu mkubwa wa kuweza kupambana na kipindi hiki kigumu kwao cha kuondokewa na mpendwa wao,

Mpendwa huyo baba apumzike kwa amani, bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Raha ya umpe eeeh bwana, na mwanga wa milele umuangazie
Mpendwa Baba yetu astarehe kwa amani, AMEEEEN.
aisee pole sana kwake....Mungu amlaze baba mahali pema peponi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Aisee, pole yake na kwa familia yake yote, Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu..hakika sisi sote njia yetu moja.
Pole sana Anne jamani Mungu amtie nguvu sana yeye pamoja na familia yake

Mama mchungaji tulio mbali basi tutumiwe no hata tumfariji kwa pole
Ooh! Habari za hovyo kabisa hizi...

Kama binadamu hatuna la kufanya isipokuwa kumuombea marehemu pumziko jema na lenye heri. Na kwa wapendwa walioachwa; hebu Roho Mtakatifu Ajulikanaye pia kama Mfariji Mkuu Akawapoze mioyo yao na kuwapa faraja na matumaini katika kipindi hiki chenye giza na maumivu makali.

Na kwenu Heaven Sent na/au Mshana Jr. Saint Anne ni memba mwenye mahusiano mema na watu wengi; na anajulikana sana hapa. Anzisheni uzi kamili wenye taarifa hii ili habari hizi ziweze kuwafikia watu wengi. Na cha muhimu zaidi, toeni mwongozo wa jinsi ya kutoa rambirambi ili tunaoweza kufanya hivyo tufanye hivyo mara moja.

Asanteni na poleni
Mungu awatie nguvu na akawe faraja kwao.. Pole sana mpendwa Saint Anne
Pole sana mchumba Saint Anne kwa matatizo. Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu. I am praying for u babe
Mungu amtie nguvu katika kipindi iki kigumu ...
Kuishi ni faida, kufa ni kristo

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala panapostahili
Amen
Asanteni

Mungu awabariki.

Mzidi kuniombea.
 
Remember this Kenyan runner Abel Mutai who was just a few feet from the finish line, but became confused with the signage and stopped, thinking he had completed the race. A Spanish runner, Ivan Fernandez, was right behind him and, realizing what was happening, started shouting at the Kenyan to continue running. Mutai didn't know Spanish and didn't understand. Realizing what was taking place, Fernandez pushed Mutai to victory.

A journalist asked Ivan, "Why did you do that?" Ivan replied, "My dream is that someday we can have a kind of community life where we push and help each other to win."

The journalist insisted "But why did you let the Kenyan win?" Ivan replied, "I didn't let him win, he was going to win. The race was his." The journalist insisted, and again asked, "But you could have won!" Ivan looked at him and replied, "But what would be the merit of my victory? What would be the honor in that medal?
What would my Mother think of that?"

Values are passed on from generation to generation.

What values are we teaching our children?

Let us not teach our kids the wrong ways and means to WIN.

Instead, let us pass on the beauty and humanity of a helping hand. Because honesty and ethics are WINNING!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huku tukiendelea kumuombea st Anne,nguvu ya kuvuka salama katika kipindi hiki kigumu,hii imenikosha sana.
Naomba niiweke kidogo kwenye lugha yetu mama.

Huyu ndugu mweusi anaitwa Abel Mutai, ni mwanariadha wa nchi ya Kenya. Wa nyuma yake (huyo mzungu) anaitwa Ivan Fernandez, ni mwanariadha wa Hispania.

Mwaka 2013 kwenye mbio za Burlada, Ivan Fernandez alifanya kitendo cha kibinadamu, kimaadili na cha heshima kubwa sana. Hakushinda mbio mahala ambapo kwa tamaa zetu za kibinadamu angeweza kushinda.

Ni kwamba, walipokaribia โ€˜finish lineโ€™, Mutai, ambaye alikuwa anaongoza mbio hizo, alikosea sign ya โ€˜finish lineโ€™ akatoka mchezoni kwenye race na kuanza kushangilia kuwa ameshinda, kitendo ambacho kingempa Ivan fursa ya kuwahi kwenye finish line na kuchukua medali ya dhahabu na kumfanya Mutai ajute, alie na kusaga meno.

Ivan hakutaka ushindi wa kinyemela, ambao angeupata tu kutokana na makosa ya Mutai.

Alimfuata Mutai kule nje na kumrejesha kwenye โ€˜laneโ€™ huku akimuongelesha kihispaniola kuwa bado hawajafika, japokuwa Mutai alikuwa haelewi lugha hiyo lakini alifuata maelekezo ya Ivan na kufika kituo cha mwisho akachukua ushindi wake. Na Ivan akabaki kwenye nafasi yake โ€˜halaliโ€™ ya ushindi wa pili. Watu hawakumshangilia sana Mutai lakini Walimheshimu sana Ivan.

Sababu ikiwa ni moyo wake wa kibinadamu wa kumsukuma Mutai kwenye mstari wa ushindi mpaka akapata haki yake. Ivan alipohojiwa alisema โ€œndoto yake ni kuona tunajenga jamii ambayo tunasukumana kwenye mstari wa ushindi...โ€.

Mwandishi wa habari akamuuliza, โ€œlakini kwa nini ulimuacha Mkenya akashinda wakati ungeweza kuwa mshindi?โ€, Ivan alijibu โ€œsikumuachia ushindi. Alikuwa ameshinda. Ushindi ulikuwa haki yakeโ€.

Mwandishi akasisitiza, โ€œlakini ungeweza kushinda?โ€. Ivan akajibu: โ€œlakini ningepata raha gani juu ya ushindi huo? Nini ingekuwa heshima ya medali hiyo? Mama yangu angefikiria nini juu ya hilo?โ€

Mungu atujaaliye tupate watoto wema kama Ivan, watakaokuwa tayari kushinda kwa mbinu halali za ushindi, watakaokuwa tayari kusimama kwenye kanuni za maadili, heshima na uaminifu.
 
Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA. Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.

C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie

(Mentions zinaendelea)
Jaman jaman life is to short now days
Pole Sana Saint Anne
Mwenyez Mungu akupe nguvu katika
Kipindi kigumu hiki unachopitia
 
Mkuu huku tukiendelea kumuombea st Anne,nguvu ya kuvuka salama katika kipindi hiki kigumu,hii imenikosha sana.
Naomba niiweke kidogo kwenye lugha yetu mama.

Huyu ndugu mweusi anaitwa Abel Mutai, ni mwanariadha wa nchi ya Kenya. Wa nyuma yake (huyo mzungu) anaitwa Ivan Fernandez, ni mwanariadha wa Hispania.

Mwaka 2013 kwenye mbio za Burlada, Ivan Fernandez alifanya kitendo cha kibinadamu, kimaadili na cha heshima kubwa sana. Hakushinda mbio mahala ambapo kwa tamaa zetu za kibinadamu angeweza kushinda.

Ni kwamba, walipokaribia โ€˜finish lineโ€™, Mutai, ambaye alikuwa anaongoza mbio hizo, alikosea sign ya โ€˜finish lineโ€™ akatoka mchezoni kwenye race na kuanza kushangilia kuwa ameshinda, kitendo ambacho kingempa Ivan fursa ya kuwahi kwenye finish line na kuchukua medali ya dhahabu na kumfanya Mutai ajute, alie na kusaga meno.

Ivan hakutaka ushindi wa kinyemela, ambao angeupata tu kutokana na makosa ya Mutai.

Alimfuata Mutai kule nje na kumrejesha kwenye โ€˜laneโ€™ huku akimuongelesha kihispaniola kuwa bado hawajafika, japokuwa Mutai alikuwa haelewi lugha hiyo lakini alifuata maelekezo ya Ivan na kufika kituo cha mwisho akachukua ushindi wake. Na Ivan akabaki kwenye nafasi yake โ€˜halaliโ€™ ya ushindi wa pili. Watu hawakumshangilia sana Mutai lakini Walimheshimu sana Ivan.

Sababu ikiwa ni moyo wake wa kibinadamu wa kumsukuma Mutai kwenye mstari wa ushindi mpaka akapata haki yake. Ivan alipohojiwa alisema โ€œndoto yake ni kuona tunajenga jamii ambayo tunasukumana kwenye mstari wa ushindi...โ€.

Mwandishi wa habari akamuuliza, โ€œlakini kwa nini ulimuacha Mkenya akashinda wakati ungeweza kuwa mshindi?โ€, Ivan alijibu โ€œsikumuachia ushindi. Alikuwa ameshinda. Ushindi ulikuwa haki yakeโ€.

Mwandishi akasisitiza, โ€œlakini ungeweza kushinda?โ€. Ivan akajibu: โ€œlakini ningepata raha gani juu ya ushindi huo? Nini ingekuwa heshima ya medali hiyo? Mama yangu angefikiria nini juu ya hilo?โ€

Mungu atujaaliye tupate watoto wema kama Ivan, watakaokuwa tayari kushinda kwa mbinu halali za ushindi, watakaokuwa tayari kusimama kwenye kanuni za maadili, heshima na uaminifu.
(ndoto yake ni kuona tunajenga jamii ambayo tunasukumana kwenye mstari wa ushindi...โ€. )

Aiseeee maneno mazito Sana haya

I wish binadam wote tungekua na roho
Kama ya huyu jamaa
 
Back
Top Bottom