Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

My Zanzibar [emoji8]
20210530_095631.jpg
 
Ukiwa mweupe Sana na mrembo hukosi ng'ombe 80, kwa mahesabu ya haraka si chini ya milioni 48 hizo [emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwa tayari uje uwe shemeji yangu kwa brother, hutakosa ng'ombe 50 wewe [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ng'ombe 80 duuh, wacha nijipange bas nizamie huko huko. Maan fursa nzuri kwangu kabisaah.
 
Back
Top Bottom