donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Hata sielewi mkuu sijui itakuajeJamani hivi hawa organisers wa huo mkutano wa Injili hawawasiliani au? Mbeya na Morogoro kote kuna hilo tangazo la tarehe 9-13 mwezi wa 6

Huwa sikoseagi ktk utafiti wangu,Huu utafiti wako kwa data moja si sahihi.
Umekosea .basi fanya kama hujaona fukuza hilo pepo likapotelee Baharini kabisa.

Mazingira mazuri.Fridays are good for mowing the lawn and pampering the yard. Good exercise too
View attachment 1800937View attachment 1800938
Hebu tuonyeshe mower ulioitumia😀Fridays are good for mowing the lawn and pampering the yard. Good exercise too
View attachment 1800937View attachment 1800938
Takin' shots in here, you want one?Weekend vibeView attachment 1800777
Mungu anakuona unafanya mtoto wa mwenzio aishi kwa woga.Huwa sikoseagi ktk utafiti wangu,![]()

Ooh pole kwake na kwa familia yote.Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)

Daah pole nyingi sana kwa familia yao Mungu akawafariji na akawatie nguvu katika kipindi hiki kigumu! Baba apumzike kwa amani Amen!Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)

So sad. Mungu amlaze Baba mahali pema peponi.Mungu amtie nguvu yeye na familia yake katika kipindi hiki kigumu.Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Mwendo ameumaliza Imani ameitunza apumzike kwa amani BABA. AMENWapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Pole zangu kwa dada Anne na familia yake yote. Mungu awape nguvu za kuuvuka wakati huu mgumu. Alale pahali pema peponi Baba Anne. 🙏🏾Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.

Ya chini!