Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Amen daddy...Unaamini katika haya mambo binti? Yana ukweli wo wote?
Usijibu nakuzingua tu. Nakuombea mwezi huu ukawe mwema sana kwako pamoja na wapendwa wako wote![]()
Sijakuona siku nyingi humu..
Nawe pia Daddy mwezi huu ukawe mwema kwako na uwapendao ukabebe afya njema,uzima,mafanikio,Baraka etc..
😊😊😊😊





