Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG20210531165224.jpg
 
Hiyo edger ndio ushamba jinsi ya kutumia.umeyakata vizuri sana. Hiyo weed eater inajuaje kama hii ni weed au sio weed..usije kuta ikakula majani yenyewe maana
Weed eater unaitumia sehemu ambayo lawnmower imeshindwa kufika mf. Kwenye fence, kingo za nyumba, karibu na maua, nguzo n.k.

Edger kazi yake ni kusawazisha tu huko pembeni ili lawn iwe manicured vizuri. Kina matairi yake yanayokuongoza na wewe kazi yako ni kusukuma mbele tu. Yard yangu yaani haina tofauti na majirani walioajiri professionals tena wengine nawazidi
 
Mshana Jr, hebu ona huyu mchawi mwenzio kutoka Kenya. Anakuzidi au we ndo unamzidi?
View attachment 1803702
Niseme kweli kaniacha mbali sana.. Na si ajabu kutumia Bible kwakuwa uchawi una hatua tatu
1.vitendea kazi
2. Mchoro wa mchawi
3. Ruhusa ya Mungu

And so in this twilight and evening of the world, when sin is flourishing on every side and in every place, when charity is growing cold, the evil of witches and their iniquities superabound...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mshana kama mtu wako wa karibu anakuroga utajuaje?kuna dalili zozote anaeza kudisplay?
 
Weed eater unaitumia sehemu ambayo lawnmower imeshindwa kufika mf. Kwenye fence, kingo za nyumba, karibu na maua, nguzo n.k.

Edger kazi yake ni kusawazisha tu huko pembeni ili lawn iwe manicured vizuri. Kina matairi yake yanayokuongoza na wewe kazi yako ni kusukuma mbele tu. Yard yangu yaani haina tofauti na majirani walioajiri professionals tena wengine nawazidi
😂Wacha we! Skills Man, Skills
Practice makes perfect
 
Msiulize idadi ya ng'ombe waliopo, muhimu ni kwamba hawa wote wanapelekwa kwa Binti mrembo Mweupe kama Waziri Mstaafu wa Wizara moja wapo ya awamu ya tano aliyekubali kuwaacha Wazazi wake na kukubali kwenda kanda ya Ziwa kujenga familia😂😂😂
IMG_20210531_142358_1.jpg
 
Back
Top Bottom