Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utalii huu[emoji23][emoji23]
Hawa watu wamenifanya nisisimke mwili kwa uoga.
JamiiForums-679631552.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni mambo ya kushangaza kidogo.
Huko Daslam wanaume wanakula chips kama chakula,tena ukute ni dinner!na wanalala tu vizuri?!

I hope mchumba wangu Jack Palladino hayupo kwenye hilo kundi[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jaman dar kuna vyakula vingine mie siwezi khaah, chips mie hat in a ladha gan sijui.
 
Ila jaman dar kuna vyakula vingine mie siwezi khaah, chips mie hat in a ladha gan sijui.
Chips kama chips ni tamu sana ila tatizo zinaleta njaa na hazina nguvu.
Yaani mtu anakula chips halafu analala usingizi kabisa[emoji1745],
Huku mikoani ni mwendo wa ugali/wali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chips kama chips ni tamu sana ila tatizo zinaleta njaa na hazina nguvu.
Yaani mtu anakula chips halafu analala usingizi kabisa[emoji1745],
Huku mikoani ni mwendo wa ugali/wali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman mie chips hata kujaribu siwezi, na vile huwa mafuta mafuta, akaaaah,
Hapo kwa ugali sasa, mie hunitoi.
 
Manini!?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Lugha...mojawapo ya maajabu ya Homo Sapiens. Kuweza kuchukua dhana (dhahnia) na kuiwakilisha kwa sauti za nasibu...

Lugha...ndiyo ilimpa Homo Sapiens uwezo wa kukomaza fikra zake mpaka akawa na uwezo wa kuyatawala mazingira yake.

Lugha...tunaichukulia poa lakini ni mojawapo ya maajabu makubwa na uwezo wa ajabu sana kuweza kutokea kwa Homo Sapiens.

Naam! Lugha !!!
678251e5991b985d6645af4ae86230a7-2.jpg
Screenshot_20210521-193327_Chrome.jpg
Screenshot_20210521-193205_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom