Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Haya ni mambo ya kushangaza kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili zako huwa unazijua wee mwenyewe.
Huko Daslam wanaume wanakula chips kama chakula,tena ukute ni dinner!na wanalala tu vizuri?!
I hope mchumba wangu Jack Palladino hayupo kwenye hilo kundi[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app