Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Simba ya siku hizi!😄😄😄
20210515211437.jpg
 
Licha ya kuandika na alama ya kiulizo umeshindwa kuona swali jamani, ila ningekuwa nimekuandikia 2,000 dollars Cheque hata usingeuliza😂😂😂

Haya kesho tukutane Forodhani, nimekuletea pension yangu yote kwa ajili yako 😃🙈🏃🏻🏃🏻
😁😁graham..

Leta hizo penshen mtwara huku tuzinunulie chamaki nchanga
 
Si njia rahisi
Ya kwenda mbinguni
Miiba ni mingi safarini
Vikwazo vipo tele
Lakini najua
Mwokozi Yu pamoja nami
[emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444]
Ooooh Noo
Si njia rahisi×2
Kutembea na Yesu
Kuongoza Safari
Mazito huyarahisisha.

[emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
Najipa moyo kwani
Mwokozi aweza
Kunishindia majaribu
Nashinda kwa Imani
Sababu ninaye
Mwokozi aliyenifia
[emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya kazi kwa siku sita na siku ya saba ni ya Bwana..ni siku ya mapumziko...!!! kwako mkalimani[emoji1]
Screenshot_20210523-112804.jpg
 
Back
Top Bottom