Selfika na JF: Snap it. Show it

sometime sifanyikazi naperuzi mda wote nisipitwe na matukio 😡😡😡🙄
 
Atakae taka picha yoyote kati ya zile zilizotumwa humu,anistue.

Hii ndio kazi niliyoichagua katika huu uzi,yaani kutunza kumbukumbu.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Tahadhari :

Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.

Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
 
Unajua kujitetea [emoji28][emoji28].
Weee Depal akishindana na mimi ya kugeuka ajiandae kushindwa.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ninyamaze nini tena mbona jana sikusumbua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…