cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
cc mbna mie najaribu kufunga PM sion hayo maelekezo uliyonipa, hebu nielekeze tena bas, sorry lakini.
cc mbna mie najaribu kufunga PM sion hayo maelekezo uliyonipa, hebu nielekeze tena bas, sorry lakini.
Kati ya aliye kaa na aliye simama wewe ni yupiCocs wid ........
Hata sikumbuki nilikua namuambia nn, [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1791982
Mpendwa hilo swala la kufunga pm mimi nimejaribu nimeshindwa sijui amewezaje mwenzetu Annecc mbna mie najaribu kufunga PM sion hayo maelekezo uliyonipa, hebu nielekeze tena bas, sorry lakini.
Aliye simama.Kati ya aliye kaa na aliye simama wewe ni yupi
Maana mie nahangaika tyuuh tangu mda, hata sifanikiwi yaan lolMpendwa hilo swala la kufunga pm mimi nimejaribu nimeshindwa sijui amewezaje mwenzetu Anne
Ukitaka kumfuata ujikane..Thank you my sister Saint Anne
Lengo la swali langu ni kutaka kujua kama kuna room ya mtu kuwezeshwa na Yesu hali ya kuwa anafanya mambo yasiyompendeza.
Ndio maana nikasisitiza sioni haja ya kutaja ninayo yafanya ila ieleweke ni mabaya sana kwa mujibu wa tamaduni zetu.
Au na wewe ni muumini wa mtu akitaka kujifunza habari za Yesu lazima ajivue nguo kwanza then mambo yaende sawa?
La rohoni nin?Waswahili wanasema
" Unatafuta la rohoni " [emoji23][emoji23]
Natamani niishi Daslam niwaone wanaume wa Dar wanafananaje aisee..Hello, kamsosi la wanaume wa dar [emoji23]View attachment 1792171
Kivuli kinaonyesha tege[emoji23]Kivuli chako kinaonesha nini na wew y
Unakataa [emoji28][emoji28]
Ha ha kwani chips(viazi) vina tofauti gani na wali, ugali, mihogo, magimbi?Natamani niishi Daslam niwaone wanaume wa Dar wanafananaje aisee..
Yaani wanakula chipsi [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chips????[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha kwani chips(viazi) vina tofauti gani na wali, ugali, mihogo, magimbi?
Tuombe radhi wanaume wa mikoani mkuu [emoji16]Ha ha kwani chips(viazi) vina tofauti gani na wali, ugali, mihogo, magimbi?