Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nashinda shamba mkuu,make up ya nini?[emoji23]

Yesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787],ona napewa sifa si zangu[emoji23][emoji23]
Hebu tuma kwanza ya yule dada tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Then do it sometimes, huwezi jua unaweza kutana na baharia akakuzingatia kesh yake akatangaza ndoa

Looh wewe kataa lakini kama ni kukata rufaa niko tayari. Unayakataa mwenyewe mahips yako leo ?, Usilete utani hapa [emoji23] unakumbuka kuna pich ulituma unasema
" yani mimi nitembee hivi mimi " ulikua umejaza humo pemben kama kondoo wa sufi.
 
Yaani kwamba baharia kesho yake atangaze ndoa?[emoji23]

Kuhusu picha yaani boss basi utakuwa na makengeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu Cocastic alisema hajaona matege[emoji1787]
IMG_20210520_105316_4.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom