Ahsante Mkuu kwa taarifa.
Alimkuta Petro anavua,akamwambia Petro nifuate..
Petro akaacha nyavu ,akamfwata..
Akina Petro waliacha uvuvi, wengine waliacha wake,watoto,,wakamfata Yesu.
Petro akamwambia"Bwana tazama sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe,Utatupa nini?
*Unajua aliwajibu nini?
Hili Neno nalihamishia kwako,
Yesu anakuita umfate,
Utaacha Project haramu,utaacha michepuko,utaacha yote..
Ukishaacha yote ,muulize "Baba nimeacha haya yote na kukufata,utanipa nini??
Sikiliza majibu yake yatakavyokufurahisha hadi utashangaa.
Ni wewe kufanya maamuzi.
Sent using
Jamii Forums mobile app