cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Utafiti kuhusu mie unaohusu nn, hebu weka maelezo yako vizuri, ili nijue natakiwa kutoa majibu ya namna ipi au kuhusu nn.
Utafiti kuhusu mie unaohusu nn, hebu weka maelezo yako vizuri, ili nijue natakiwa kutoa majibu ya namna ipi au kuhusu nn.
Wee pedesheee ndama unakosaje hela? Hakuna maskini humu JF, zaidi yangu mie.Vile vile marefu ukiwa huna hela...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1649] bas ndo unapoharibu mlo wee cc.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan unayapenda hayo, hivi huyachoki?
[emoji23][emoji23] kweli tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo wee lol
Muong weee[emoji23][emoji23] kweli tena
Wiki nzima hii nilikuwa sijakula.[emoji23][emoji23][emoji23] yaan unayapenda hayo, hivi huyachoki?
[emoji23][emoji23][emoji23]Muong weee
Mmmmmmmmh
Heeeeh so ndo ukawa na hamu nayo? [emoji23][emoji23][emoji23]Wiki nzima hii nilikuwa sijakula.
Jamani tuma bas na wee, au had nikupe RR [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekula kipande kimoja tuHeeeeh so ndo ukawa na hamu nayo? [emoji23][emoji23][emoji23]
RR nimeachana nayo Mungu anijarie nipate pesa ni nunue iiJamani tuma bas na wee, au had nikupe RR [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah mafiati hapa
Salama kwa afya ya mlaji
Boss hii shati ilitafunwa na ng'ombe ndio ukavaa nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtaniponza jf
View attachment 1773165
Duuuh aseeeeh yaan, unaweza wee lol
Huu mchuma nao uko njema, ngoja nivunjeRR nimeachana nayo Mungu anijarie nipate pesa ni nunue iiView attachment 1774434