I did'nt see your quote,jf App notification imekuwa changamoto kubwa.Pole dada
Usjali, hope uko poa. MorningI did'nt your quote,jf App notification imekuwa changamoto kubwa.
Asante sana kaka🙏🙏
Niko poa sanaUsjali, hope uko poa. Morning
Dah, nishapenda 👌
Hiki ndio wanaitaga kichwa cha habarii?
Hutakagi tabu wee, seat ya mbele tyuuh





Huwa napenda niwahi kufika.Hutakagi tabu wee, seat ya mbele tyuuh![]()

Nimependa nywele zako, hivi umetia wave? Au revlon na kulainisha kwa stemming? Ukagandisha kwa Afro Gel?
Heeeeeh picha ya kuombea mkopo bank, chezea weyeeeeeh





Sawa bhana... 😂
Huwa napenda niwahi kufika.
Mambo ya kukanyagana nyuma huwa siyataki kabisa![]()



nimecheka km mwehu wallahSijatia chochote..Nimependa nywele zako, hivi umetia wave? Au revlon na kulainisha kwa stemming? Ukagandisha kwa Afro Gel?


nikatembeza na brush.Kumbe bank siku hizi mikopo ni ya michezo namna hiyoHeeeeeh picha ya kuombea mkopo bank, chezea weyeeeeeh
![]()


