Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Shukrani MkuuTeam
Muwe makini sana
Nasikia corona imerudi tena
Na mara nyingi Indian community ndio huwa wanaleta Tanzania
December walipoenda India for sherehe za diwali waliileta. Kama mnakumbuka iliondoka na watu wengi akiwemo subhash
Safari hii wameleta na imeanza kusambaa na imeshaanza kuondoka na watu akiwemo Zacharia
Na madoctor wanasema ikija hua inaanza na outbreak ya mafua kwa watoto then inahamia kwa watu wazina. Sasa hivi watoto wengi wana mafua
Please exercise strict precautions. Corona Imerudi
Jipange vizuri


