Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20210412-WA0246.jpg
 
Wewe unamsikiliza zitto [emoji1787]?

Kwanza juzi kati Mwigulu amesema bungeni inaonyesha jinsi gani mama ana imani na wanayanga[emoji23][emoji23]View attachment 1750482
Hadi Mabeyo yupo upande wetu mtatuambia nini[emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ohoo bishana na takwimu mama
 
Wewe unamsikiliza zitto [emoji1787]?

Kwanza juzi kati Mwigulu amesema bungeni inaonyesha jinsi gani mama ana imani na wanayanga[emoji23][emoji23]View attachment 1750482
Hadi Mabeyo yupo upande wetu mtatuambia nini[emoji1787][emoji1787]
Ila kumbuka tu utawala umebadirika na kila utawala mwingine unapoingia Tanzania sharti la kwanza Yanga lazima atandikwe bao kuanzia 4 mpaka 6 na Simba.
Ipo hivyo tangu enzi za utawala wa kwanza wa nchi hii na tawala zilizofuata ilikuwa hivyo, itakuwa hivyo pia chini ya utawala wa mama.
Jiandae kisaikolojia [emoji23][emoji23][emoji14][emoji14]
 
Back
Top Bottom