cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Kila siku utaumwa mgongo!




kuna siku bhana tupo home, cc alivaa heels due kwa mtoko, sasa ile ashuke ngazi kutoka nje, nashangaa mtu chini, wallah nilishindwa kujizuia 




Nilicheka mno tangu siku hiyo havai tena, na nikiona mtu kavaa heels nachekaga tyuuuh, nakumbuka kwa cc.



