Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Second toy
IMG20210413152902.jpg
 

Kwa kweli waugawanye tu huo mkoa

Poleni kwa yaliyowakuta aisee! Nimegundua kila binadamu aliyekuwa akajielewa ni lazima apitie tukio fulani la aibu maishani mwake kabla hajafa aidha mbele za watu au nyuma za watu lakini hilo ni lazima!

Eehh ndugu yangu maisha yenyewe ndiyo haya haya. Mie nimeamua kusamehe tu na kupotezea and now it is well with with my heart.
Aise ndio Naona ujumbe wako loh...

Mambo aje karma..
 

Basi itabidi uanze kutilia maanani sasa kuwa na wewe ni comedian

Kuna comment yako moja hivi SYB alikuwa amebadili avatar akakuquote ukamuambia airudishe ile ya siku zote. Sasa namna ulivyomuambia (nimesahau) na zile emoji ulizoweka aisee nilicheka sana siku ile nikajisemea tu haki huyu sijui anapuliza kile chenyewe cha Jamaica.
😆😆😆natamani nijue nilimjibu nini baba yangu SYB isijekuwa keshanitwanga laana huku maana kichwa chenyewe kibovu hichi😄😄
 
Back
Top Bottom