Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Tuone picha za mwakajana[emoji7]Hahaaaaa!!!ngoja ntakutumia dadaa!!
Acha kabisa wanafunzi wananichosha hatari na mambo mengi mnoo!staki kunenepa tena Mimi jamani maana last year nilibongekaa mpk walijua nna mimba watu!
Mimi nilivyo na hasira sidhani kama ningeweza kuwa mwalimu[emoji1787]
Yaani napoteza nguvu halafu watoto wengine kumbe hata hawasikilizi[emoji38]
Walimu mbarikiwe sana aisee