Mashetan
Mkuu niajeMkuu
Mkoa wa Morogoro una hifadhi kubwa ya miti ya asili kwenye misitu yake ya milimani na iliyo tambarare.Upo sahihi chief,nimetembea mikoa mingi nchini,ila nafurahia sana maisha na mandhari ya mikoa hii
Morogoro
Kilimanjaro
Mbeya
Iringa
Arusha
Ni Kati ya mikoa huwa napenda sana uoto asili wake. Pia nadhani ile kampeni ya kupanda miti irudi tena,tusije kuwa jangwa siku za mbeleni.
Paje. ZanzibarAisee wapi Hii dada
Mwee kalumbu sasa mimi mitaa ya huko ndani ndani nitaijuaje tena? Mbona nilishakuambia kuwa dar siyo kwamba naijua yote ila ni vile wewe unapigia picha zile sehemu maarufu ambazo mtu yeyote ambaye ameshawahi hata kutembea dar atapajua achilia mbali kuishi!hahahahhahaha ww ni google map...kwanza hyo picha na mwana jf tumepga wapi
otea
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Yaani humu ndani Kuna Khantwe,Jael,Chakorii,Hornet.
Kila nikitana na comments zao sehemu lazima tu ziwe zinachekesha![]()




Tulikubaliana watu wote wa Mbeya ni Yanga.



Hao uliowataja siku hizi sikutani nao sana.
Kuna na joanah na cocastic
Joanah majibu yake yanataka kufanana na ya dada yake Khantwe. Cocastic naye kule kwenye nyuzi za celebrities huwa ana majibu sijui anayatoaga wapi kuna siku alimpa mtu jibu hilo haki nilichekaaa.
Bila kuwasahau Evelyn Salt na Hannah! Daah haki namiss kile kikosi chetu cha maangamizi cha MMU tulikuwa tukivamia uzi wanaume wote nduki na wanaobaki wanaishia tu kutaja majina ya viungo vya siri!






Tulikubaliana Mbeya nzima ni Yanga![]()
Ah wapi! Mlikubaliana na kina nani?
Labda Wandali na Wanyiha ila siyo watu wa Mbeya eti





Wacha weeeMkoa wa Morogoro una hifadhi kubwa ya miti ya asili kwenye misitu yake ya milimani na iliyo tambarare.
Mkoa huu unajivunia misitu mikubwa kwenye uwanda wa milima ya Udzungwa, mbangayao, Ilonga,Kihansi, Uluguru, Kinyanguru, Ngerengere nk.
Misitu mikubwa ya mkoa huo umepelekea kuwa na hifadhi kubwa ya maji.






Kwangu/Kwetu ni Panga la .mwingereza, Vikumburu, wilaya ya Kisarawe.
Nakupata mkuu.Mkoa wa Morogoro una hifadhi kubwa ya miti ya asili kwenye misitu yake ya milimani na iliyo tambarare.
Mkoa huu unajivunia misitu mikubwa kwenye uwanda wa milima ya Udzungwa, mbangayao, Ilonga,Kihansi, Uluguru, Kinyanguru, Ngerengere nk.
Misitu mikubwa ya mkoa huo umepelekea kuwa na hifadhi kubwa ya maji.
Oh kumbe!Kwangu/Kwetu ni Panga la .mwingereza, Vikumburu, wilaya ya Kisarawe.
Morogoro tunaenda tafuta fursa za kiuchumi zinazotokana na uhifadhi madhubuti wa maliasiri
thanks maaOh Karibu tena dear
Karibu Vikumburu Kisarawe,
Hao uliowataja siku hizi sikutani nao sana.
Ila hao niliowataja yaani huwa nacheka nakaribia kuzimia
Kwingine kunakonichekesha ni kwenye siasa
Wale watu wamevurugwa
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app



