Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
We sema robot tu wakati mwenzio anazama PM vizuri tu na anajikwepulia watoto wazuri safi kabisaKwani mkwepu si robot lilee au....ngoja nilewe nitapambana nae tu



We sema robot tu wakati mwenzio anazama PM vizuri tu na anajikwepulia watoto wazuri safi kabisaKwani mkwepu si robot lilee au....ngoja nilewe nitapambana nae tu



Duuh! Haya sina namna hii nitaanza jumatatuBasi fanya 30.imekaaje hiyo
Na halafu sijuagi kama ninakuwaga na hayo majibu..kya..
Basi nitajitahidi kuwa nayachuja na chujio la tui bubu ili nisiudhi watu
Huyo uliomtaji hapo namuonaga mjeur sana ingawa kuna wakati nikisoma comments zake naishia kucheka sana najiulizaga Hivi huyu alikuwa anawaza nini maana ni vituko aiseh![]()




Haki mpka muda huu bado mate yananijaa mdomon utafikiri mjamwepesi kha...
Hivi inamaana don amekosa hata kadigidigi au kaswala kweli mpka ale hicho kiumbe apomagonjwa ya mlipuko nje nje




Aise Poleni..nitajaribu siku nyingine nikipata safari ya huko.ingawa nilifurahi sana kuona maji yakiporomoka kutoka milimani.mbele ya chita ukivuka sijui jeshin Mungu babaaa sina kumbukumbu vizuri.Duuh pole sana aise next time bora upande treni utaenjoy sana! Ila last time nilivyopanda treni kulitokea ajali ile section ya mlimba kuna treni ya mizigo mbele huko ilipata ajali kwahiyo treni yetu ikapigwa stop mlimba pale tukaambiwa tusubiri hadi lile treni liilopata ajali litolewe na reli itengenezwe ndiyo tuondoke uliza tulikaa masaa mangapi!
Tulisimama asubuhi tukaja kuondoka kesho yake asubuhi muda kama ule wenye ndugu au jamaa zao pale mlimba hawakulala kwenye treni walienda kulala huko na sisi abiria tulioanzia safari dar wakatugaia hela za msosi sababu ya muda tuliopoteza! Ninachoshukuru ni kwamba tulisimama sehemu yenye mtandao pale pale mlimba stesheni vinginevyo tungekoma maana si unajua treni zinakopitaga!
Mimi wote nawakubali ila Heaven Sent namkubali zaidi sana since day one na ndiye ninayetamani sana nifahamiane naye nje ya JF ila nawaza namuanzia wapi! Ukizingatia HS siyo mwepesi kumuamini mtu yaani hadi akuamini aisee basi ujue ni kakupenda sanaaaaa ila Mtende ndiyo kabisaaa hata nikitaka kufahamiana naye nitajisumbua tu maana hapa jukwaani hatuna mazoea kabisa!
Aiseh kumbe na mimi ni mjeur kama huyo ee😁😁😁safi.
Haswaa sasa huyo ndiye kidogo nakufananisha naye muandiko humu
Umeanza mabalaa Lizzy.njaa inauma mwenzio na mvua inanyesha ujue
😆😆😆😆😆sasa Hebu jaribu ku imagine ndo babe wako halafu anakuja umkiss..chaaa naweza tapika hadi sagamba🤮
Wengine tunavyoogopa hata kuwaona tu achilia mbali kuwashika halafu unasikia kuna mtu anawala doh unaweza jikuta unajiuliza hivi huyu kwao hakufunzwa adabu au
Mme nibakishie kidogo!😄😄😄
Safiiii🧚♀️🧚♀️🧚♀️Duuh! Haya sina namna hii nitaanza jumatatu
Dah![]()
Wanasemaga eti majibu kama hayo japokuwa yanafurahisha mtu anajikuta anacheka lakini yanaudhi! Nayafananisha kidogo na majibu ya Khantwe huwa ana majibu fulani hivi ya kukera na hapo hapo yanachekesha!
Ndiyo maana watu wengi sana humu wanamkubali na wanamuona kama comedian! In short watu wenye majibu kama hayo yenu huwa wanakubalika sana humu JF na mimi nikiwa mmoja wa wanaowakubali!

nimemiss sista wangu jamani.NiombeeeSafiiii🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Hii barabara
Sikupanda treni nisafiri na bus kwenda na kurud..ingawa changamoto ya barabar ilikuwa ni kubwa kwa sababu ya Mvua kunyesha.hapo tulikwama karibu saa zima.next time nikienda itabidi nipande tren niende nikashinde bar kabisaView attachment 1748531
Nawakubali sana mtende na heaven sent..ila HS sijawahi kumwambia kwakuwa hatujakuwa na muingiliano wa karibu.wakianza kutoa ushauri natafuta kiti kikowapi naanza kuchoma na mahindi kabisa...maana najua naenda kusoma nyundo za maana.yap mimi na mtende tunainteract..nje ya hapa hapana lakini naimani kuna siku nitakuja kufahamiana nae.kikubwa uzima.mtende na HS ni watu wanaonibariki mno na ndio watu ninaotamani kuonana nao nje ya JF. Mtende na Heaven Sent ninawakubali na kuwapenda sana



Mimi wakati tutagawana vyombo,aiseesasa Hebu jaribu ku imagine ndo babe wako halafu anakuja umkiss..chaaa naweza tapika hadi sagamba
![]()
Kama lile la makengeza lile.Na halafu sijuagi kama ninakuwaga na hayo majibu..kya..
Basi nitajitahidi kuwa nayachuja na chujio la tui bubu ili nisiudhi watu
Huyo uliomtaji hapo namuonaga mjeur sana ingawa kuna wakati nikisoma comments zake naishia kucheka sana najiulizaga Hivi huyu alikuwa anawaza nini maana ni vituko aiseh![]()