Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Ni ndefu utafikiri Treni ya TAZARA.
Waaahii ilinishinda..halafu kuna siku nilikwenda mlimba nikakukumbuka sana
Aiseh ni kweli kabisa ninamkubali mno na anajua ninamkubali sana.akianza kutoa ushauri kwa kuandika gazeti navuta kiti na mahindi naanza kuchoma..ananondo sana.hana tofauti sana na Heaven Sent katika uandishi





Au ile treni ya Gerezani - Pugu
Haha namiss sana safari za treni aisee! Mbona haukututumia hata kapicha sasa jamani?
Wana nondo sana though mimi namkubali HS zaidi atleast ndiye ambaye naweza taniana naye humu ila Mtende namuona yuko serious sana and so far mimi na yeye hatujawahi interact humu! Huwa naona mnainteract mara kadhaa na inaonekana you guys mmeclick vipi unafahamiana naye nje ya JF?


kwani wewe ni kabila gani agrrrrr



