Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unajiita wewe fureshi hakuna tabu[emoji3344][emoji3344]
Ila akili zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unajiita wewe fureshi hakuna tabu[emoji3344][emoji3344]
WooozaaahhHiii ndoa ilikuwepo na itakuwepo nyingine soon...
Niliendaa kumuita ex baby[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwani anko frog alikimbia jukwaa[emoji16][emoji16]rudiiii
Hahahahahahahahha hili jukwaa naomba siti nimelipendaaaaa bureeeeUshampeperushia mwenzio ndege wake[emoji16][emoji16]hakawii kurudi jukwaani kwake we subiri
😁😁😁nimefanyaje jamani😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila akili zako
Unajua nimekaa nacho moyoni toka, mwaka jana imebidi leo nimuulize kaka mkubwa.Ushampeperushia mwenzio ndege wake[emoji16][emoji16]hakawii kurudi jukwaani kwake we subiri
Yukwapi sasa😁😁Hivi kumbe ni ex eeNiliendaa kumuita ex baby
Oyoooo! Piga kelele kwa brother Lee! [emoji38][emoji38]Hiii ndoa ilikuwepo na itakuwepo nyingine soon...
Unajua nimekaa nacho moyoni toka, mwaka jana imebidi leo nimuulize kaka mkubwa.
Mimi ni mdau sasa kule Makapuku sema kimekua mtoro sikuhizi.
Yukwapi sasa[emoji16][emoji16]Hivi kumbe ni ex ee
Pole kwa kukaa na kihoro muda mrefu 🤛🤛Unajua nimekaa nacho moyoni toka, mwaka jana imebidi leo nimuulize kaka mkubwa.
Mimi ni mdau sasa kule Makapuku sema kimekua mtoro sikuhizi.
Wacha bhana 😁😁😁Hizo za ngugu yangu mzes wa frog
Yule mtoto wife material kabisa,sijui kamanda ulichanganya nini.Mkuu nakusalimiaa
Sema ujinga wangu walahi shunie nilikuwa nimepata mke ....binamu zangu walinitia ujingaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole kwa kukaa na kihoro muda mrefu [emoji2935][emoji2935]
Haya na wewe unaoa lini sasa
😆😆😆😆😆hazard wewe ni chizi kabisa umenichekesha kijinga mno..😆😆😆😆mbege imeshapanda kichwani mda huu😁😁We si unanitenga
Nikisafiri na msiba mwingine nitakujulisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante 🧚♀️Haya karibu sana[emoji38]
Yeah mwenyewe nilishindwa kuimalizia ilifika kipindi nilikosa muda wa kuiangalia. Nikasema mbona hawaimalizi mwisho wa siku nikaona acha waendelee tu mi niishie hapa.Eti Chakorya...mimi sikuimalizia waaahiii ilikuwa ni ndefu.
Kumbe na wewe ulishaniulizaga ee ok... nakumbuka pia Mtende alishawahi kuniuliza kuhusiana na jina hapo hapo nikapata na nafasi ya kummwagia sifa zake maana nilikuwa namkubali sana na sikujua nitaanzia wapi kummiminia sifa zake[emoji4][emoji4]
😁😁😁akuuu sina uchokozi mie..Ila wewe mchokozi
Hivi sio kwamba tunaharibi uzi nisije pigwa ban