Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
[emoji16][emoji16][emoji16]akuuu sina uchokozi mie..
Nani wa kukulisha ban huku...hakuna[emoji16]
Naona kama story zmekuwa nyingi wasije kumind au kama kule kwetu
[emoji16][emoji16][emoji16]akuuu sina uchokozi mie..
Nani wa kukulisha ban huku...hakuna[emoji16]
Wacha bhana..yani mtoto mzuri vile ulimletea pozi!!bora uendelee kujuta tu hakuna namnaNilipendwa nikaringaaaaa walahiiii alivoondoka mpaka leo najutaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]nimefanyaje jamani[emoji16][emoji16]
Wacha bhana..yani mtoto mzuri vile ulimletea pozi!!bora uendelee kujua tu hakuna namna
Mzima kabisa...namtafutia mama wa kamboHahaha kuishi huko hapana napenda kuja kutembea tu! Trevor mzima?
Hahahaha kiroho mbayaa yaniKabisa aise! Kule kwenu hamchafui mazingira mmekuja kuwachafulia wazaramo huku! [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Jezi itakuponza mkuu [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Mzima kabisa...namtafutia mama wa kambo
[emoji15]Mzima kabisa...namtafutia mama wa kambo
Ni ndefu utafikiri Treni ya TAZARA.Yeah mwenyewe nilishindwa kuimalizia ilifika kipindi nilikosa muda wa kuiangalia. Nikasema mbona hawaimalizi mwisho wa siku nikaona acha waendelee tu mi niishie hapa.
Yeah mimi nilikuuliza huku huku selfika. Hiyo system naielewa sana mama unakuta mtu unamkubali humu ila unashindwa uanze vipi kumuambia sasa siku akijichanganya akakuquote tu unaona yes hapa hapa nitoe ya moyoni.
Jiachie tu ila ukisindikiza na picha itapendeza zaidiNaona kama story zmekuwa nyingi wasije kumind au kama kule kwetu
🤣🤣🤣
Ndo ujifunze sasaSasa hapa sjui atanielewa ...naomba tusimzungumzie namuheshim sana huyu mrembo najutiaga ujinga niliomfanyia
Chief, hizi mambo usiweke tena.. Hamadi mzigo nauona halafu nipo na nitalala huku shamba, na huku vifutu ndio kedekede..Kenge mkuu, hutumii? Leo kifutuView attachment 1748526View attachment 1748525
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karma tumuache Hazard CFC na yake...vip kaka Behaviourist ina maan umuon anavyo teseka jmn[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mweee pampula unataka kuwa diamond
😆😆😆kama hayaudhi tunaishi nayo tu Tutafanyaje sasa🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa una majibu yako fulani hivi ya kufurahisha ambayo mtu hayategemei
Hili ndo la msingi sasaSema ana nafasi ya kudumu moyoni