Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapi Saint Anne.
Njoo kule kule
FB_IMG_1618077750682.jpg
 
Jamani nashukuru kwa kupenda magazeti yangu. Me love you too girl, na uwepo wako ni baraka kwa wengi humu pia. Inshallah tuombe uzima, siku moja nije nijionee hilo guu lako live. I appreciate dear

Ni ndefu utafikiri Treni ya TAZARA.
Waaahii ilinishinda..halafu kuna siku nilikwenda mlimba nikakukumbuka sana

Aiseh ni kweli kabisa ninamkubali mno na anajua ninamkubali sana.akianza kutoa ushauri kwa kuandika gazeti navuta kiti na mahindi naanza kuchoma..ananondo sana.hana tofauti sana na Heaven Sent katika uandishi




Sikupanda treni nisafiri na bus kwenda na kurud..ingawa changamoto ya barabar ilikuwa ni kubwa kwa sababu ya Mvua kunyesha.hapo tulikwama karibu saa zima.next time nikienda itabidi nipande tren niende nikashinde bar kabisaView attachment 1748531

Nawakubali sana mtende na heaven sent..ila HS sijawahi kumwambia kwakuwa hatujakuwa na muingiliano wa karibu.wakianza kutoa ushauri natafuta kiti kikowapi naanza kuchoma na mahindi kabisa...maana najua naenda kusoma nyundo za maana.yap mimi na mtende tunainteract..nje ya hapa hapana lakini naimani kuna siku nitakuja kufahamiana nae.kikubwa uzima.mtende na HS ni watu wanaonibariki mno na ndio watu ninaotamani kuonana nao nje ya JF. Mtende na Heaven Sent ninawakubali na kuwapenda sana

Btw hapa ulikuwa unaenda wapi jamani, hiyo barabara mweeeh
 
Back
Top Bottom