qeen jojo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,246
- 3,729
Kwani mkwepu si robot lilee au....ngoja nilewe nitapambana nae tu













Kwani mkwepu si robot lilee au....ngoja nilewe nitapambana nae tu













Heee....Hapana mimi nina huruma sana hasa kwa baba mwnye family yake uwa sipend kbsa kuwakosesha aman watoto
Na halafu sijuagi kama ninakuwaga na hayo majibu..😁😁kya..![]()
Wanasemaga eti majibu kama hayo japokuwa yanafurahisha mtu anajikuta anacheka lakini yanaudhi! Nayafananisha kidogo na majibu ya Khantwe huwa ana majibu fulani hivi ya kukera na hapo hapo yanachekesha!
Ndiyo maana watu wengi sana humu wanamkubali na wanamuona kama comedian! In short watu wenye majibu kama hayo yenu huwa wanakubalika sana humu JF na mimi nikiwa mmoja wa wanaowakubali!
Haki mpka muda huu bado mate yananijaa mdomon utafikiri mjamwepesi kha...Nami nimeshangaa sana! Haya magonjwa ya mlipuko yanasababishwaga na mambo kama haya haya ya watu kutaka kula kila kitu sijui popo sijui nyoka sijui kenge wooiii!![]()
![]()
Weka picha basi naona umezifuta
Unachoma kibatari sasa😁😁
Mkubwaa...huyo mdogo sio wanguAah nimeshangaaa tu dgo bado ata miezi 6 bdo unataka kumtafutia mama wa kambo ...
Hapana hyo sio haki

Ngastuka leHeee....
Kuna kiwakilishi kingine nakiona kutoka kwako.safi brotherHaahaha nilijua kilimanjaaro inawakilishwa na ulabu
Happy birthiday kwa bad girl, my best friendWeka picha basi naona umezifuta



Mkubwaa...huyo mdogo sio wangu![]()


















sio uliye kuwa unakesha unakaangalia na kuka shika shikaOoh hallelujah! Mungu mwemaUmeshamaliza yale maombi ya siku 40 kavu mlimani?![]()
Hallelujah.kwa wakati wote.Ooh hallelujah! Mungu mwema
Nilimaliza mwezi wa pili Tarehe 12
Hmm! Jamani hata kama napenda kupata watoto mapacha ila kwa hizi pigo 🙆Hallelujah.kwa wakati wote.
Naomba nikuongezee nyingine tena 40
Basi fanya 30.imekaaje hiyoHmm! Jamani hata kama napenda kupata watoto mapacha ila kwa hizi pigo 🙆
Hahaha siosio uliye kuwa unakesha unakaangalia na kuka shika shika
Duuh pole sana aise next time bora upande treni utaenjoy sana! Ila last time nilivyopanda treni kulitokea ajali ile section ya mlimba kuna treni ya mizigo mbele huko ilipata ajali kwahiyo treni yetu ikapigwa stop mlimba pale tukaambiwa tusubiri hadi lile treni liilopata ajali litolewe na reli itengenezwe ndiyo tuondoke uliza tulikaa masaa mangapi!
Sikupanda treni nisafiri na bus kwenda na kurud..ingawa changamoto ya barabar ilikuwa ni kubwa kwa sababu ya Mvua kunyesha.hapo tulikwama karibu saa zima.next time nikienda itabidi nipande tren niende nikashinde bar kabisaView attachment 1748531
Nawakubali sana mtende na heaven sent..ila HS sijawahi kumwambia kwakuwa hatujakuwa na muingiliano wa karibu.wakianza kutoa ushauri natafuta kiti kikowapi naanza kuchoma na mahindi kabisa...maana najua naenda kusoma nyundo za maana.yap mimi na mtende tunainteract..nje ya hapa hapana lakini naimani kuna siku nitakuja kufahamiana nae.kikubwa uzima.mtende na HS ni watu wanaonibariki mno na ndio watu ninaotamani kuonana nao nje ya JF. Mtende na Heaven Sent ninawakubali na kuwapenda sana