Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Njoo nikusongee ugali na wifey wangu Behaviourist coz wali umeisha 🙂😁Umeanza mabalaa Lizzy.njaa inauma mwenzio na mvua inanyesha ujue
Njoo nikusongee ugali na wifey wangu Behaviourist coz wali umeisha 🙂😁Umeanza mabalaa Lizzy.njaa inauma mwenzio na mvua inanyesha ujue
Selfika basi[emoji102]
Unatuma na mikoani pia?😁😁😁Kuja tudateView attachment 1748607
[emoji7]Excuse my camera. View attachment 1748612
Nimefuatilia huo weusi hadi unapoishia sijaona kitu...sijui macho yalikua yanataafuta nini hukoo[emoji23][emoji23]Excuse my camera. View attachment 1748612
Hahaha eeh natumaUnatuma na mikoani pia?[emoji16][emoji16][emoji16]
Mamboo!![emoji7]
Mamboo!![emoji7]
Howtyyy!!!Excuse my camera. View attachment 1748612
Imeisha hiyooooNiombeee
Hahahaaaa.Nimefuatilia huo weusi hadi unapoishia sijaona kitu...sijui macho yalikua yanataafuta nini hukoo[emoji23][emoji23]
My mkweHowtyyy!!!
Hivi kumbe mkeka unatengenezea barabara..safi.Hii barabara[emoji119][emoji119][emoji119]
Zimenikumbusha barabara za kijinini kwetu kabla hawajatandaza mkeka
NimekumissMy mkwe
Imeisha hiyoooo Hahaha mwendo wa kikamanda huu
Duuh! Mwendo wa kikamandaImeisha hiyoooo
Mimi sinaga kinyaa cha rejareja lakini kwa hicho kitoweo cha huyo masta...hapana aiseh 🤮Mimi wakati tutagawana vyombo,aisee
Nina kinyaa mno.
Yule jamaa aliniacha hoi aise kha nilikosa jibu la kumpa ikabidi nimwambie vile hakukuwa na namnaKama lile la makengeza lile.
Nilicheka aisee..halafu nilikuwa nimebanwa na haja ndogo,almanusura niuachie sebuleni.