financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
Karibu moyoni mwangu Ely 😉Hapana siwezi kukudai na riba juu
Bhasi nialike hata moyoni
Karibu moyoni mwangu Ely 😉Hapana siwezi kukudai na riba juu
Bhasi nialike hata moyoni
Principle yangu mgeni akitaka onana na mimi basi aje nyumbani.Ningependa tukakae pale Mkulu hotel, au nyumbani utagombezwa![]()
Kumbe tayari una majibu.Nataka niishinde hii hali
Unaogopa kunyonywa damu😜😜Principle yangu mgeni akitaka onana na mimi basi aje nyumbani.
Nakuwa huru zaidi kuliko kuonana na mtu mafichoni.
Jaribu tu kutafakari ukiwa na mke halafu siku moja unamkuta na jamaa akikusaliti utaumia kiasi gani au utafurahi kiasi gani jibu utapata hapo.Hata hivyo point yangu ilikuwa "how".
Ahsante kama umeona ninachotaka kinajitosheleza kuwa how.
Huo mtindo nilikua nao advance level, yaan nasoma had karibia na mlango afu ndo natupa ki memo changu,Yaani mida kama hii mimi ndio kunakucha
Ni kupuliza Moto hadi asbh
Mimi hadi njiani natembea nasoma,hadi nafika karibia na chumba Cha mtihani ndio naweka samare yangu kwenye ndoo ya taka.
Kiujumla sijawahi ridhika kukaa bila kusoma aisee..
Hiyo ni tangu naanza kusoma hadi namaliza.




Ahsanteeeh dea, tunapambana km ivo.Aisee nakumbuka mbali kidesa kizima unakisoma usiku mmoja, zima moto siyo kabisapoleni lkn
Mimi hiyo tabia nilikuwa nayo tangu olevel hadi namaliza chuo.Huo mtindo nilikua nao advance level, yaan nasoma had karibia na mlango afu ndo natupa ki memo changu,
Kwangu msuri wa advance ulikua balaaah, sijui huko mbele mambo yatakuaje.
Ila Elimu bhana ni hatareeeeh.
Kunyonywa damu na nani?Unaogopa kunyonywa damu
Mbona pale Mkulu panausalama wa kutosha, uzuri wake mbele yake kidogo kuna Kanisa. Kwahiyo inakuwa neno kwa neno![]()
"Basi nasema enendeni kwa Roho kamwe hamtazitimiza tamaa za mwili"Hata hivyo point yangu ilikuwa "how".
Ahsante kama umeona ninachotaka kinajitosheleza kuwa how.
Aseeeeeh ulitisha mnooh cc.Mimi hiyo tabia nilikuwa nayo tangu olevel hadi namaliza chuo.
Nilikuwa nasoma hadi kwenye daladala siku za mitihani.
Ulishawahi sikia habari za nyonya damu? Miaka ya 90's hadi 2002 hivi. Ilikuwa mtu stranger anaogopwa sana kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo.Kunyonywa damu na nani?
@Saint Anne naomba tu kaka angu Jack Palladino awe mzima tu yaan staki akufe na preshaMbona Ruth alikuwa anatoa amri na wanaume wanatii-refer agano la kale.
Naomba uwe amiri Jeshi Mkuu wa mtima wangu, nakuhaidi kukutii daima![]()


Ata me naona
Kiwe na maua kisiwe nacho, nimekipenda hivyo hivyo 😋