Selfika na JF: Snap it. Show it

Mamangu anamapacha kwahiyo na mimi nikae kimkakati sio.kwenye ukoo wetu kuna uhaba wa watoto wa kike..natamani kuja kufyatua vipacha vya kike๐Ÿ˜๐Ÿ˜.ila ile shughuli mama aliyokuwa anaipata kipindi kile...kwakweli bwana asimame
Haha kuna uwezekano kabisa wa kuwazaa maana ni ishu ya kigenetic hiyo. Yani usiombe wawe watundu au lialia utakoma๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mimi napenda wawe wa kike na kiume.
 
Haha kuna uwezekano kabisa wa kuwazaa maana ni ishu ya kigenetic hiyo. Yani usiombe wawe watundu au lialia utakoma๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mimi napenda wawe wa kike na kiume.
Ngoja nijiandae kisaikologia aise.
Nawajua mapacha nimewalea wadogo zangu nawaelewa sana ingawa sasa wanamagirlfriend huko basi wanaona sikufanya kazi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†visungura vile vilinisumbua mno..

Aisee mapacha ni watamu sana kama si wasumbufu
 
Naona umeamua kuamini kwa mtakatifu.๐Ÿ˜๐Ÿ˜kweli maisha yanaenda kasi sana
Sina hamu jinsi ulivyonitelekeza visiwani, Kama ulikuwa unaogopa kesi ya mauaji ningekupa wakili kabisa na ushahidi ningeutoa mahakamani ๐Ÿ˜€. Kwamba nilitaka mwenyewe damu changa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™ˆ๐Ÿƒ๐Ÿป

Mtakatifu mwenyewe nawasiwasi naye, isije kuwa mwaka mzima anafunga na kuomba huku akiacha suala muhimu lililotuunganisha. Mambo ya kupimiwa huduma napenda basi!๐Ÿ˜…๐Ÿ™ˆ
 
Nilikuja hapo nikagonga papaaa la nyumba mpka basi..ikabidi nirudi nilikotoka
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Eti visungura. Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ