Selfika na JF: Snap it. Show it

Mapacha ni wasumbufu kweli hata kama ni wawili wakiwa bado ni wadogo unakoma ila wakishakuwa raha sana.
Mamangu anamapacha kwahiyo na mimi nikae kimkakati sio.kwenye ukoo wetu kuna uhaba wa watoto wa kike..natamani kuja kufyatua vipacha vya kike😁😁.ila ile shughuli mama aliyokuwa anaipata kipindi kile...kwakweli bwana asimame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…