cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,169
Awwwwwww rafiki kipendhiiih,Na ya mie rafiki je?





Yako wee ipo kabisaaah tayari, hebu njoo chukua.
Awwwwwww rafiki kipendhiiih,Na ya mie rafiki je?





Sipandi gari ya mtu mimi wewe ndo uje upande yangu 240Gnjoo nikupe lift, nipo road naelekea home mkoani.
Mdogo wangu naona ulikuwa chali kwa uchovu wa UEAwwwwwww rafiki kipendhiiih,
Yako wee ipo kabisaaah tayari, hebu njoo chukua.

Wapi huko,?
Kama nyie vijana mnapigwa na hizo UE vipi Kibabu mie nikirudi shule na miaka yangu 78 si nitapigwa hadi nichakae na hizo UE?😂😂😂Mdogo wangu naona ulikuwa chali kwa uchovu wa UEView attachment 1742873
Wow umepotelea wap jmn kipenzi chngu??Miss moaah dea.

Karibuni tufurahie kufufuka kwa mwana wa MariamView attachment 1742957
Mambo mengi muda ni mchache.
Kwenye hiyo picha au?Wapi huko,?
UE haijawahi zoeleka.Kama nyie vijana mnapigwa na hizo UE vipi Kibabu mie nikirudi shule na miaka yangu 78 si nitapigwa hadi nichakae na hizo UE?
By the way, UE haizoeleki![]()