B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Fresh mwamba.........
Jpili njema.
Fresh mwamba.........
Suo home ata me nimecheka etiHahahaa dah mwenyewe sikulala aisee yaani nina moto nimenunua na midoli kibao leo kama chizi wakati mda wa kuchezea bado, mpaka hom wanacheka tu








Olaaaaaa
HanipendiHajui mahaba jamn lisauti lote ilo![]()
Dunga dunga.
Ushafukua kinywo cha mtu, unaangalia upepo sasa.View attachment 1717059
Wakati tukiendelea kujifukiza na kunawa na Maji tiririka tusisahau HIV bado ipo, play safe.
![]()
Ukipitiwa na usingizi, ujue nawe umeptiwa.Tanga Kuna Eneo Wanasema Kuna Mwembe Basha
Ukifika Chini Ya Huo Mwembe Basha Lazima Utatamani Kukaa
Sasa Kosa Ukikaa Tu Lazima Upitiwe Na Usingizi
Kitakacho Kukuta Ndiyo Yaliyomkuta Yanga Leo
Watu Wa Tanga Wanaujua Huo Mwembe
Naomba lifti
ChiefNaomba lifti
Vipi ndugu yangu?Chief
Kwema mkuu ,umeadimikaa haswaVipi ndugu yangu?
Nipo ndugu yangu, misele mingi tu.Kwema mkuu ,umeadimikaa haswa
Kikubwa afya na uzimaNipo ndugu yangu, misele mingi tu.
Kabisa chief.. Mambo mengine yanasemaje!?Kikubwa afya na uzima
Masikini pamban usife moyoHanipendi
HahahaMasikini pamban usife moyo
Kwamba majonzi yalikuzidia sana au?Asante babe! Ndio naona tag yako leo.



Sana yani, hata huku nilijipa likizo kidogo...Kwamba majonzi yalikuzidia sana au?![]()