Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Wewe jitose tu mzee wa chura😁😁Wewe katika pitapita zako hakuna mgombea hapa ambae ameshajitosa kwenye kinyang'anyiro hicho na akachukua jimbo?
Wewe jitose tu mzee wa chura😁😁Wewe katika pitapita zako hakuna mgombea hapa ambae ameshajitosa kwenye kinyang'anyiro hicho na akachukua jimbo?
Mwambie mwenzio 😁😁![]()
![]()
![]()
![]()
Wagombea wapo sema hawajawa serious dah nimecheka mkuu, usimwangalia mpinzani we angalia kulinyakua kombe kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sasa jirani unanipigia promosafi!
Umeona ehh napigia kampeni jimbo lipate mbungeNajichagulia shemeji banah ili mambo yawe vizuri sitaki upate preshaKwahiyo jirani unataka kuitwa shemejijichagulie shemeji umtakae...nataka jirani yangu ufurahi
Bora hata wewe umeonekana.huyu kipenzi changu sijui nani kamteka jamani🙆♀️🙆♀️Jirani nipo sema hujafungua macho tu, Huyu ndugu mtu chake nae amepotea humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sasa huu ndo ujirani mwema niliokuwa nikuutaka.ulichelewea wapi jirani jamani..we naeee...Najichagulia shemeji banah ili mambo yawe vizuri sitaki upate presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Make shua shemeji atakaepatikana utamfurahia siku zote 🤪🤪
Jimbo!!🤗🤗🤗Salama mamaa wa guu la Taifa!😄Uko poa lakini?Mzee wa misambwanda😁😁😁habari yako aise
😃😃Niko poa kabisa mzee wa chura namshukuru MunguJimbo!!🤗🤗🤗Salama mamaa wa guu la Taifa!😄Uko poa lakini?
Sawa

Mkuu unatujaza mate mdomoni, sio kwa menu hizi...halafu nina jero mfukoni!
Pole sana mkuuMkuu unatujaza mate mdomoni, sio kwa menu hizi...halafu nina jero mfukoni!
Kwema sana kiongozi!Pole sana mkuu
Vipi kwema lakini
Vizuri sana kama ni kwema sana mkuuKwema sana kiongozi!
Tanga Kuna Eneo Wanasema Kuna Mwembe Basha
Ukifika Chini Ya Huo Mwembe Basha Lazima Utatamani Kukaa
Sasa Kosa Ukikaa Tu Lazima Upitiwe Na Usingizi
Kitakacho Kukuta Ndiyo Yaliyomkuta Yanga Leo
Watu Wa Tanga Wanaujua Huo Mwembe



