Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wabambiaji mpoooh? Na mawazo yenu ya uchumi wa kati.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
FB_IMG_16144125083103183.jpg
 
Aiseeeeeee umeona sasa, ukabadili na jina !!!
Vibe na mwandiko ni Zoe laki jina ni Karma.
Nilikuachia kazi wewe, uliifanya eti ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Lakini hata na wewe umebadili uncle bahati nzuri jina hili nalijua. Hivyo nilivyoliona tu nikajua ni wewe umelirudia japo hata mimi pia hili jina nimelirudia.

Daah hauwezi amini ile kazi hadi leo sijaifanya! Tatizo ile kazi siyo ndogo uncle!
 
halafu zoe nilikua namchukulia kama sista duu fulani hivi na minato ya mwendokasi....huyu karma namuona kama mtu social,peace hana noma na mtu



aisee kumbe ni mtu mmoja[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji4]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]

Aiseee Minato gani tena hiyo mkuu
 
Back
Top Bottom