donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Ila unauma hatariUle mpera ukiwa mwembamba unanesa vizuri sna.
Ila unauma hatariUle mpera ukiwa mwembamba unanesa vizuri sna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli mkuuIla kulikuwa na raha yake[emoji23][emoji23]
Mimi nimeanzishiwa sana mstari na ndugu zangu [emoji1787][emoji1787]
Ya kale ni dhahabu
Sana, na mda wa kuchapwa ata kachupi huna kipindi hiyo angalau saivi mtoto ana vaa chupi😅.Ila unauma hatari
Mimi nilikuwa nafurahi sana,[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli mkuu
Ndiyo ndiyo Mr.Crush!Ndugu yangu 😅.
Uko kumoyo nakupotezaje labda wewe unifanyie ivyo mimi. 💜Usipotee tena Sasa..unanipa shida mwenzio[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo ndiyo Mr.Crush!
Akhsante [emoji847]Uko kumoyo nakupotezaje labda wewe unifanyie ivyo mimi. [emoji171]
Choma miguu ya kuku na chicken wings my brother Bill nitumie kwa kidia one.
Tulikua tunapishana sana,Akhsante [emoji847]
Ulipotelea wapi?
Kila siku nipo hapa nakuchungulia kila jukwaa sikuoniTulikua tunapishana sana,
Nikiingia nakuta umetoka kitambo.
Mchumba[emoji2113]View attachment 1736728
Najitahidi kuandika kwa uchache niwezavyo,Kila siku nipo hapa nakuchungulia kila jukwaa sikuoni
Yes mchumba!Mchumba
Mambo!Yes mchumba!
Mimi mzima..Najitahidi kuandika kwa uchache niwezavyo,
Uko poa lakini?.
Nimependa sana avatar yakoMimi mzima..
Hofu yangu kwako
Safi, unajua kuogelea?Mambo!
Sijui mchumbaSafi, unajua kuogelea?