Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,412
- 176,327
Wacha bwana!! Basi pole sana.Sana yani, hata huku nilijipa likizo kidogo...
Wacha bwana!! Basi pole sana.Sana yani, hata huku nilijipa likizo kidogo...


Tupo tunapambana chiefKabisa chief.. Mambo mengine yanasemaje!?
Hahahaa umenikumbusha mbali aiseeeEnzi hizo mnakula mahindi ya kuchoma, kaka yako au dada yako anakwambia lete hapa nikuanzishie mstari![]()
Pamoja mzee...Tupo tunapambana chief
DahEnzi hizo mnakula mahindi ya kuchoma, kaka yako au dada yako anakwambia lete hapa nikuanzishie mstari![]()




Hahaha, yaa mtu ilimradi akulie punje kadhaa eti anakutengenezea njiaDah
Umenikumbusha mbali
Ngoja nipambane kama wewe ulivyopambana hadi kikaeleweka!😄😄😄Masikini pamban usife moyo
Ule mpera ukiwa mwembamba unanesa vizuri sna.Enzi hizo fimbo pendwa na wazee ilikua mpera sijui kwanini.
Ndugu yangu 😅.Ngoja nipambane kama wewe ulivyopambana hadi kikaeleweka!😄😄😄
Ujambo mama.Dah
Umenikumbusha mbali
Ila kulikuwa na raha yakeHahaha, yaa mtu ilimradi akulie punje kadhaa eti anakutengenezea njia




SijamboUjambo mama.
Ulipo nipo mama..Sijambo
Hivi nilikuwa namalizia kuanzisha thread ya kukutafuta.
Mwakalinga.brother Bill.....10month nowView attachment 1735926
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Umepotea hizi siku 2,nilikumiss hadi nahisi kuugua.Ulipo nipo mama..
Ugua tu wa kumdekea yupo(stoic), here and there for you.....Umepotea hizi siku 2,nilikumiss hadi nahisi kuugua.
Usipotee tena Sasa..unanipa shida mwenzioUgua tu wa kumdekea yupo(stoic), here and there for you.....
