mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,191
Your so cuteHahahahaha sio visu tu kuna mpka mapanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Your so cuteHahahahaha sio visu tu kuna mpka mapanga [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji171]Yeah ,kichuna .....[emoji170]
Sawa mkuu!Asante mwaya lakin me sio pic kali, me wakaida tu
Sijawai lipenda ilo jina la pic kali sijui kwa nn..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mi mwenyewe mwanzo nilikusahau kama ndiye wewe rafiki yangu mpenzi toka nyanda za juu kusini, mpaka dadako Saint Anne aliponyoosha kidole kunielekeza.
Usibadirishe tena I'd yako, marafiki zako unatuchanganya
Asante...
Asante kushukuru [emoji4]Asante...
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji3059]
Yaliyomo yamo na yanaonekana mubashara kabisa ....
Mashallah Habibty
alivyokuita brother sasaHahaha eti anataka nimpe dada zangu! Atawezana nao?
Nimepitaa hili eneo mda si mrefu lol.
Nimepitaa hili eneo mda si mrefu lol.