Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

SaTuRdAy
IMG_20210310_122314.jpg
 
Hongera sana Bill, kabinti kamepishana tarehe/siku moja na kajunior kangu (miaka tofauti). Mungu akawatunzie na kuwakuzia kabinti kenu, kakawe lango la baraka na mafanikio kwa ndugu zake. Akatengwe mbali na kila magonjwa, laana na mikosi. Msikose wala kupungukiwa anything necessary kwa ajili ya malezi ya binti yenu. Akaishi maisha marefu yenye afya, amani, upendo na utajiri.

Mashangazi tunaandaa sherehe, au ngoja tusubiri kafikishe 40.
Thanks alot mama la mama nina furaha isio na kifani
 
Hongera sana Bill, kabinti kamepishana tarehe/siku moja na kajunior kangu (miaka tofauti). Mungu akawatunzie na kuwakuzia kabinti kenu, kakawe lango la baraka na mafanikio kwa ndugu zake. Akatengwe mbali na kila magonjwa, laana na mikosi. Msikose wala kupungukiwa anything necessary kwa ajili ya malezi ya binti yenu. Akaishi maisha marefu yenye afya, amani, upendo na utajiri.

Mashangazi tunaandaa sherehe, au ngoja tusubiri kafikishe 40.
Hongera na kwako saana hakika watoto wanaleta furaha fulani amaizing yaan iko natural and genuine hapa mda wote nacheka cheka tu kila nikikatazama
 
Back
Top Bottom