Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Vibonge tupo wengi mama haupo peke yakoayayayay acha kabisa mimi ni chibonge cha kutupa
Vibonge tupo wengi mama haupo peke yakoayayayay acha kabisa mimi ni chibonge cha kutupa
Hahahaha mtu anayetumia iphone anaanzaje kumkashifu mtu anayetumia samsung kwa mfano??Ila Kuna kauli sijaipenda
Hiyo ya tecno Aiseee...Mara picha zinatoka vibaya...Sasa si Ni zao na wameridhika nazo ndio maana wakapost.
Kutumia iPhone kusimfanye mtu amdharau mtumiaji wa Samsung infinix au tecno...Ni priority tu jamani...hatuwezi kulingana.
Pia uzuri wa mtu upo machoni pa mtu... mambo ya kuanza kuponda wadada wa watu bila sababu za msingi sio uungwana.
Kama girlfriend wako Ni malaika kwako isiwe sababu ya wewe kuwakandamiza wasichana wengine na kuona hawafai...kuna wanaume wanaowaona wanafaa.
Na nyie wadada muache kuponda girlfriends za watu jamani lol
Mmezidi na nyie....jifunze kupunguza maneno mdomoni.
Ulimi huponza kichwa.
Pia mtu kukaa muda wote humu sio Kama Yuko useless au Hana kazi.
Kazi Ni kazi,haijalishi kubwa au ndogo zote Ni kazi.
Acheni kuona watu hopeless kisa wanashinda humu...kila mtu na priority zake...wengine jf Ni kama rafiki kwao.
It's a matter of choice &priority.
Kuna watu wapo humu nawajua Wana kazi na hela zao za maana...lakini hata siku moja hutawakuta wakikashfu watu
Jifunzeni kuongea na watu vema.
Hii jf Ina Watu wengi,waaminifu ,wema,wazuri...
Kupitia hii unaweza tengeneza undugu ujamaa na urafiki.
Tudumishe upendo,tafuteni Sana kuwa na amani na watu wote.
Heshima Ni kitu Cha bure
Jifunzeni kuongea lugha nzuri.
Ukijibu vizuri ama kukaa kimya hutakatika mkono Wala kichwa.
Samahani kwa nitakaowakwaza.
Ni maoni yangu tu.
Au nimedanganya??Aisee
Kitu Cha Arushanilipuliziwa moshi Bahati mbaya










Hapa tunaibiwaaAu nimedanganya??
Na tena hata wewe unalijua hili maana nilikusifia..
Alafu wewe mrembo wewe mbona sijakuona aiseeVibonge tupo wengi mama haupo peke yako
alishatoa kitu matata humu mwanzo mwanzo wa uziThe bright one sijamuona bado humu...yule naonaga mabalaa yake kwenye ule uzi wa walevi
Sasa tofauti kati ya huyo rafiki yako na mimi ni kwamba huyo rafiki yako anajikubali na anaponda watu ila mimi sijikubali na sipondi watuSasa mimi naweza nikamuona mtu nzuri ila rafiki zangu wakasema sio mzuri.
Ndo maana wanasema nasifiaga kila mtu.
Nina rafiki yangu huyo akisifia mtu hadi mimi nashangaaga. Maana anajikubali mbayaaaaa na anajua kuponda kila mtu.
Nahisi katika rafiki zake tuko wawili tu ambao hajawahi kutusema ni wabaya
alishatoa kitu matata humu mwanzo mwanzo wa uzi
so hiyo miguu ya nani tena mzee?
dah!Kritika
Aahh nani kasema?? Wanaongea tu hao!!kuna wapenzi wa vibonge ujue![]()
![]()
tena mpk nyimbo mmetungiwa
sio kila mtu anapenda mamodel wengine minofu ndio ugonjwa wo bibieAahh nani kasema?? Wanaongea tu hao!!
Mamaaa kama ni macho hayo ukweli mi cnaHauonekani kiurahisi, hadi uwe na macho ya rohoni
Mbona niliweka mwanzoni huko niliifuta bada ya kuchimbiwa mkwara wassap kwamba nije kuitoa ngoja akili zangu za heineken zikinituma nitakuja kuweka tena baba wa mtoto mzuriAlafu wewe mrembo wewe mbona sijakuona aisee
Hebu weka hata goti tupoteane humu ndani

Kweli enh?? Sema wewe chibonge ila mzuri mimi sasa mamamamamama!!Vibonge tupo wengi mama haupo peke yako
Mamaaa kama ni macho hayo ukweli mi cnaHauonekani kiurahisi, hadi uwe na macho ya rohoni
Kwanini tena eti jamani??Hapa tunaibiwaa
We dada na hii sura ya babu yangu mzaa baba naanzaje kuwa mzuri ebu acha kunitukana basiKweli enh?? Sema wewe chibonge ila mzuri mimi sasa mamamamamama!!
Yah hilo ni kwelisio kila mtu anapenda mamodel wengine minofu ndio ugonjwa wo bibie